Christopher R. Mwashinga alisoma katika shule ya msingi Ngare-Nairobi, mkoani Kilimanjaro. Alihitimu elimu ya sekondari katika shule za Igawilo Sekondari iliyoko jijini Mbeya 1988 (kidato cha nne) na Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea 1991(kidato cha sita). Alipomaliza masomo ya sekondari, alijiunga na Chuo Kikuu Arusha kusomea theolojia mwaka 1993. Mwaka 1994 alihamia Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki,Baraton nchini Kenya alipotunukiwa shahada ya kwanza BA katika theolojia mwaka 1997[6]. Vile vile alitunukiwa shahada mbili za uzamili katika mambo ya theolojia,Master of Divinity MDiv (2008)[7] na Master of Arts, MA in Systematic Theology,(2010)[8],zote katika Chuo Kikuu cha Andrews kilichopo katika jimbo la Michigan nchini Marekeni; mahali ambapo baadaye alijiunga na masomo ya shahada ya juu ya Udaktari wa Falsafa (Ph.D) katika fani ya theolojia.[9]
Christopher Richard Mwashinga alisomea shule gani ya msingi?
Ground Truth Answers: Ngare-Nairobishule ya msingi Ngare-Nairobi, mkoani Kilimanjaroshule ya msingi Ngare-Nairobi
Prediction: